Kuna baadhi ya maderevya hupuuza matumizi sahihi ya maegesho ya magari katika barabara ikizingatiwa barabara hiyo ni matumizi ya wabnanchi wengi kana inavyoonekana magari haya yakiwa yameegeshwa isivyo stahiki na kuleta usumbufu wa watumiaji wa barabara hii katika mzunguko wa barabara ya michezani. Je maderevya kama hawa wakichukuliwa magari yao na taasisi husika nani wa kulaumia wakati kipindi hicho Manispa ya Zanzibar ikiwa katika zoezi la kuondoa magari yanayoengesha isivyo halali.
TANZANIA NA JAMHURI YA CZECH ZASAINI MKATABA WA KUONDOA UTOZAJI KODI YA
MAPATO MARA MBILI NA KUZUIA UKWEPAJI WA KODI
-
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) na Balozi wa
Jamhuri ya Czech nchini Tanzania mwenye makazi yake ya kudumu
Nairobi-Kenya, Mh...
5 minutes ago
No comments:
Post a Comment