Habari za Punde

Kombe la Mapinduzi AZAM na KMKM,

 Kikosi cha timu ya Kmkm kinachoshiriki Michuano ya Kombe la Mapinduzi yanayofanyika katika Uwanja wa Amaan, KMKM imemevungwa bao moja na timu ya Azam. 
Kikosi cha timu ya AZAM kinachoshiriki Kombe la Mapinduzi Zanzibar kilichoifunga timu ya KMKM bao 1-0, michuano inasyofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. 
Wachezajhi wa timu ya KMKM na AZAM, wakiwania mpira katika mchezo wa kuwania Kombe la Mapinduzi, uliofanyika katika uwanja wa Amaan.Timu ya AZAM imeshinda 1--0.
Mchezaji wa timu ya AZAM akiruka kwanja la beki wa timu ya KMKM, katika mchezo wa kuwania Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan.
Kipa wa timu ya KMKM Mundhiry Khamis, akiwa hewani akidaka mpira moja ya hatari golini kwake, wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya AZAM, imeshinda 1--0. 

Mchezaji wa timu ya AZAM akimpita beki wa timu ya KMKM katika mchezo wa kuwania Kombe la Mapinduzi kutimia miaka 51, yanayofanyika katika viwanja vya Amaan Zanzibar.
Jopo la Ufundi la timu ya AZAM wakifuatilia mchezo wao na timu ya KMKM uliofanyika katika uwanja wa Amaan. 
Mchezaji wa timu ya AZAM akimpita beki wa timu ya KMKM katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya AZAM imeshinda mchezo huo bao 1--0.
Benchi la Jopo la Ufundi la timu ya KMKM likiongozwa na Kocha Mkuu Shabani Ramadhani na Msaidi wake Seif Bausi wakifuatilia mchezo huo

Wachezaji wa timu ya AZAM na KMKM wakiwania mpira katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan.Timu ya AZAM imeshinda 1--0.
Kipa wa timu ya KMKM Mundhiry Khamis, akiwa hewani akidaka mpira moja ya hatari golini kwake, wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya AZAM, imeshinda 1--0. 
 Mchezaji wa timu ya AZAM Salum Abubakary,akimpita beki wa timu wa KMKM Ibrahim Khamis.
Mshambuliaji wa timu ya AZAM,Brian Erick, akipisha kwanja la beki wa timu ya KMKM.Mwadini Haji, wakati wa mpambano wa michuano ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan.
Mchezaji wa timu ya AZAM Brian Erick, akipita  mchezaji wa timu ya KMKM, Khamis Ali, wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan, AZAM imeshinda 1--0.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.