Habari za Punde

Kombe la Mapinduzi Yanga na Polisi Amaan Zenj


Mshambuliaji wa timu ya Yanga akiwapita mabeki wa timu ya Mafunzo katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan, timu ya Yanga imeshinda 4--0 
Mshambuliaji wa timu ya Yanga Khamis Tambwe akizuiya mpira huku beki wa timu Polisi akijiandaa kumzuiya 
Mchezaji wea tiimu ya Yanga na Polisi wakiwania mpira katika mchezo wao kuwania Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan Zenj.














No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.