NAIBU mufti mkuu wa Zanzibar sheikhe
Mahmoud Mussa Wadi akiwahutubia waumini wa dini ya kiislamu waliohudhuria kwenye
mkesha wa Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika mjini Chake
Chake Pemba , (Picha na Haji Nassor,
Pemba.)
WAUMINI wa Dini ya kiisilamu kutoka miji ya
Chake Chake wakiwa katika kisimamo cha kumnyanyukia Mtume (S.A.W) kwenye
Maulidi ya kuzaliwa kwake yaliyofanyika
Chake Chake Pemba, (Picha Na Haji Nassor,Pemba).
WANAFUNZI
wa Madrasah mbali mbali za Qur-aan waliohudhuria katika Maulid ya
kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika
Chake Chake Pemba , (Picha Na
Haji Nassor,Pemba).
WANAFUNZI wa
Madrasa za Qur,aan wakiwa katika kisomo cha Maulid ya kuzaliwa Mtume (S.A.W)
yaliyofanyika Chake Chake Pemba ,(Picha
na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment