Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha akitembelea maeneo mbalimbali ya Skuli ya Sekondari ya Jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua.Kushoto yake ni Mwalimu Mkuu wa Skuli hiyo Juma Vuai Mshamba.
Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha wakwanza kulia akiangalia Madawati yaliomo katika moja ya madarasa ya Skuli ya Sekondary ya Jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zahra Ali Hamad.akitoa hotuba ya makaribisho kwa Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha katika ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha akitoa hotuba katika ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
.
No comments:
Post a Comment