Habari za Punde

Timu za JKU na Mtibwa Zikiwa Uwanjani kucheza Mchezo wao wa Nusu Fainal

Kikosi cha timu ya JKU kikiwa katika maandalizi ya mchezo wao wa Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi linalofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar jioni hii.
Kikosi cha Mtibwa wakifanya mazoezi mepesi kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Nusu Fainal na timu ya JKU  kuwania kucheza Fainali ya Kombe la Mapinduzi unaofanyika jioni hii Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Waamuzi wa mchezo wa Nusu Fainal ya Kombe la Mapinduzi wakipasha kabla ya kuanza kwa mchezo huo jioni hii uwanja wa Amaan Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.