Habari za Punde

Dk Shein akutana na watendaji Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora

 Uongozi wa  Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora wakiwa katika mkutano wa siku moja uliozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi chini ya Mwqenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
 Katibu Mkuu Wizara ya Ncho Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Salum Maulid Salum (kushoto) na watendaji wengine wakifuatilia kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 iliyotolewa na Waziri  Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini (hayupo pichani) katika mkutano uliofanyika leo asubuhi chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa  Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora katika mkutano wa siku moja uliozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.