Balozi Mdogo wa China Xie Yuanliang akimkabidhi Waziri wa Afya Rashid Seif Suleima msaada wa vifaa vya matibabu ya macho uliotolewa na Serikali ya nchi yake. Hafla hiyo ilifanyika Makao Mkuu ya wizara ya Afya Mnazimmoja mjini Zanzibar.
Waziri wa Afya wa Zanzibar Rashid Seif Suleiman akitoa shukrani baada ya kupokea msaada wa dawa za matibabu ya macho uliuotolewa na Serikali ya Jamhuri ya watu wa China katika Hafla iliyofanyika Wizarani Mnazimmoja.
Picha na Makame Mshenga Habari Maelezo Zanzibar
No comments:
Post a Comment