Picha no.1 Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya
Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji
wa Kampuni ya JIHIL ENTERPRISES ya India Nd. Jilesh H. Babla wakitiliana saini
mkataba wa makubaliano ya kuanzishwa kwa ofisi ya uwakala wa Utangazaji Utalii
wa Zanzibar Nchini India. (Picha na Makame Mshenga Maelezo-Zanzibar)
Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii
Zanzibar Nd. Saleh Ramadhan Ferouz akijibu maswali ya waandishi wa habari mara
baada ya kumalizika kwa tukio hilo .
(Picha na Makame Mshenga Maelezo-Zanzibar)
Wa 3 kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya
Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar na Wa 3 kushoto ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya JIHIL ENTERPRISES ya India Nd. Jilesh H. Babla na
viongozi wengine kutoka Wizara ya Habari pamoja na Kamisheni ya Utalii Zanzibar
wakiwa katika picha ya pamoja.
(Picha na Makame Mshenga Maelezo-Zanzibar)
No comments:
Post a Comment