Habari za Punde

Dk Shein azungumza na watendaji Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa   Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais katika mkutano wa siku moja uliozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Ofisi hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
 


 Katibu Mkuu wa  Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Dk.Omar Dadi Shaajak (kushoto) na watendaji wengine wakifuatilia kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais   kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 iliyotolewa na Waziri Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Fatma Abduhabib Ferej katika mkutano uliofanyika leo jioni chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa    Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais  katika mkutano wa siku moja uliozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Ofisi hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.