Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Waziri wa Nishati na Viwanda wa Qatar Dr. Mohammed Saleh Al-Sada, wakifurahia jambo wakati wakibadilisha zawadi mjini Doha-Qatar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na sehemu ya ujumbe wake, wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa maendeleo wa Qatar (Qatar Fund) Sheikh Khalifa bin Jassim, walipokwenda kuzungumza na mfuko huo mjini Doha-Qatar.
(Picha na Salmin Said, OMKR)
No comments:
Post a Comment