Habari za Punde

Rais Kikwete Akutana na Waziri Mkuu wa Sweden

Mwenyekiti wa Kamati ya Viongozi wa Afrika Juu ya mabadiliko ya Tabia nchi,Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasilisha ripoti ya utendaji wakamati hiyo katika mkutano wa Viongozi wa Umoja wa Afrika uliofanyika jijini Addis Ababa Ethiopia.Mkutano huo ulimalizika Januari 31, 2015.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Waziri Mkuu wa Sweden Stefan Lofven jijini Addis Ababa Ethiopia jana.Tayari Rais Kikwete amerejea nchini baada ya kumaklizika mkutano wa wakuu wa nchi za umoja wa Afrika AU jijini Addis Ababa Ethiopia kwa siku mbili.
(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.