Habari za Punde

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU MKWAWA IRINGA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji  Chifu mpya wa Wahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa  katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu Mkwawa, Kijiji cha Karenga

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na   Chifu mpya wa Wahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo  katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu Mkwawa, Kijiji cha Karenga

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo  katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu Mkwawa,Kijiji cha Karenga

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akijumuiya na Wananchi wa Iringa katika mazishi ya Cheif Mkwawa Iringa leo.akiitikia dua baada ya mazishi hayo 
                               Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezi 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa aliyekuwa Chifuwa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo  Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.