Habari za Punde

Semina kuhusu sheria ya mtoto na haki za binadamu yafanyika Pemba

MJUMBE wa kamati ya hifadhi ya mtoto taifa Pemba, ambaye ni mwendesha mashtaka kutoka ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka Pemba, Ali Bilali Hassan akitoa mada ya Sheria ya Mtoto na haki za binaadamu, kwa Masheha wa Wilaya ya Mkoani, huko katika kituo cha TC Mzingani Wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.