Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mhe Said Mohammed Dimwa akizindua kisima cha Maji Safi na Salama kilichochimbwa na Kampuni ya Bia Tanzania TBL, kulia Meneja Uhusiano wa TBL Doris Malulu. uzinduzi huo umefanyika huko mpendae Zanzibar.
MAONESHO YA MIFUGO YA KIMATAIFA MBOGO 2025 KUANZA JUNI 14 CHALINZE
-
Na Mwandishi Wetu
MAONESHO ya Mifugo ya Kimataifa ya Mbogo 2025- ambayo yanakwenda kuandika
alama mpya sio tu kwa tasnia ya mifugo ya Tanzania, bali pia...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment