Ajuza raia wa japan Misao Okawa (117) akiwa na familia yake. Ajuza huyu bado yupo katika afya njema na hata msosi anaupiga kama kawaida.
Ajuza huyo alifunga ndoa mwaka 1919 na Yukio ambaye alifariki mwaka 1931 wakiwa wamezaa watoto watatu kati yao wasichana wawili na mvulana mmoja ambapo sasa anawajukuu wanne na vitukuu 6.
Alitambuliwa rasmi kuwa ndiye mtu mzee kuliko wote duniani mwaka 2013 na kitabu cha kumbukumbu Duniani cha Guinness.Source: BBC-UK
No comments:
Post a Comment