Habari za Punde

Adha na kero za Daladala Zenj

IMEKUWA ni jambo la kawaida kwa madereva wa daladala kukiuka sheria ya usalama barabarani kwa kuegesha  daladala katika eneo siyo salama kwa watumiaji wa barabara hiyo na kuleta usumbufu kwa wakati wakiwa wameegesha, kama inavyoonekana daladala hizi zikiwa katika eneo la Donge zikiwa zimeegeshwa kinyume na utaratibu wa sheria za barabara.





1 comment:

  1. Ni kweli daladala wana kero na maudhi mengi na hata ajali nyingi zinasabsbishwa nao LAKINI na serikali nayo jamani, hivi halo panastahiki kuwa stand kuu magari ya abiria. Utafikiri viongozi wetu hawajafika hata hapo Nairobi tu.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.