IMEKUWA
ni jambo la kawaida kwa madereva wa daladala kukiuka sheria ya usalama
barabarani kwa kuegesha daladala katika
eneo siyo salama kwa watumiaji wa barabara hiyo na kuleta usumbufu kwa wakati
wakiwa wameegesha, kama inavyoonekana daladala hizi zikiwa katika eneo la Donge
zikiwa zimeegeshwa kinyume na utaratibu wa sheria za barabara.
DK.SAMIA AANIKA MAENDELEO RUKWA,AAHIDI MAKUBWA MIAKA MITANO IJAYO
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Rukwa
MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan
amesema Mkoa wa Rukwa umepiga hatua kubwa za ...
51 minutes ago
Ni kweli daladala wana kero na maudhi mengi na hata ajali nyingi zinasabsbishwa nao LAKINI na serikali nayo jamani, hivi halo panastahiki kuwa stand kuu magari ya abiria. Utafikiri viongozi wetu hawajafika hata hapo Nairobi tu.
ReplyDelete