Mkurugenzi wa Baraza la Manispa Zanzibar Ndg Abeid Juma Ali, azungumza na Waandishi wa habari kuwataka Wananchi kuwa na tahadhari na mvua za masika zinazotarajiwa kuaza kunyesha hivi karibuni na kuwaasa mvua hizo wasizitumia kutupa taka katika mitaro ya maji machavu kama wanavyofanya wakati wa mvua hutumia mwanya huo, kutupa taka. Baraza linatowa onyo kwa wananchi wenye tabia hiyo hatua za kisheria zitachukuliwa juu yao.
Mkurugenzi wa Manispa Zanzibar Ndg Abeid Juma Ali, akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali viliko Zanzibar juu ya tahadhari kwa wananchi kutumia mvua hizo kufanya majaa katika mitaro ya maji machavu yanayopitisha maji hayo.
Waandishi wakifuatilia mkutano huo wakiwa katika ukumbi wa Ofisi za Baraza la Manispa Zanzibar ziliofo Amaani Zanzibar
Mwandishi wa habari wa Chuchu Fm Ndg Yahya Hakunaga, akiuliza swali kuhusiana na Vijana wa kikundi cha mchangani kilichukuwa kikifanya usafi wakati wa usiku kwa sasa vijana hawa hawaonekani katika harakati hiyo ya usafi nyakati za usiku.
No comments:
Post a Comment