Habari za Punde

ZITTO KABWE ANG’ATUKA UBUNGE

                           Barua yake ya kung’atuka ubunge kupitia chama cha CHADEMA
Mhe.Zitto Kabwe akiongea na waandishi wa Habari usiku wa kuamkia leo mara baada ya Kuwaaga Wabunge Baada ya kuwasomea barua aliyomwandikia Mhe.Spika ya Kung’atuka Ubunge baada ya kuvuliwa Uanachama na chama chake cha CHADEMA( Chanzo kwa  Hisani ya Fullshangwe)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.