Mafundi wa Idara ya Utunzaji wa Barabara Zanzibar wakiwa kazini kuweka lami katika moja ya barabara za mji mkongwe za ndani katika barabara ya Mtendeni kutokea muembetanga ikiwa katika uimarishaji wake kwa kuiwekea lami baada ya muda mrefu barabara hiyo ilikuwa na mashimo na lami yake kuharibika na kufanyiwa ukarabati mkubwa wa kuweka lami mpya.
WANAOSAFIRISHA MAZAO KINYUME CHA SHERIA KUWAJIBISHWA– COPRA
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
MAMLAKA ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imeonya vikali
wafanyabiashara wanaosafirisha mazao ya kilimo bi...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment