Habari za Punde

Chama cha ADC chagawa katiba iliyopendekezwa kwa wanachama wake kisiwani Pemba


MMOJA wa Viongozi wa chama Cha ADC Kisiwani Pemba, akiwagawia wananchi na wanachama wa chama hicho katiba iliyopendekezwa, huko katika kiwanja cha Kangangani ili kwenda kuisoma na kuipigia kura wakatiu utakapofika.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 BAADHI ya akinamana na wapenzi wa chama cha ADC kisiwani Pemba, wakisoma katiba iliyopendekezwa mara baada ya kupatia na chama chao, huko katika mkutano wa chama hicho Kangagani jimbo la Ole Wilaya ya Wete Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 WATOTO wadogo wakiiangalia katiba iliyopendekezwa mara baada ya kutolewa na chama cha ADC huko katika kiwanja cha Kangagani jimbo la Ole Wilaya ya Wete Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

MWENYEKITI wa chama cha ADC Taifa, Said Miraji Abdalla akiwaonyesha wananchi katiba iliyopendekeza na kuwataka kwenda kuisoma katiba hiyo, mara baada ya kutolewa katiba hiyo katika mkutano wa hadhara wa chama hicho, huko Kangagani jimbo la ole Wilaya ya Wete Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.