Habari za Punde

Katibu Mkuu CCM atekeleza ahadi kwa maskani ya CCM Mchangani, Vitongoji, Pemba

 KATIBU wa CCM Wilaya ya Chake Chake Mafunda Khamis akimkabidhi Shilingi Milioni Moja(1,000,000/=), Mwenyekiti wa CCM Wilaya hiyo Yussuf Ali Juma, ikiwa ni ahadi ya katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdul-rahman Omar Kinana, aliyoiweka katika maskani ya ccm Mchangani Vitongoji Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Chake Chake Yussuf Ali Juma, akizungumza na wanachama wa ccm Tawi la Mchangani Vitongoji, mara baada ya kukabidhiwa shilingi Milioni Moja,ikiwa ni ahadi ya katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdull-rahmna kinana, wakati alipoitembelea maskani hiyo Januari 28 mwaka huu.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.