Habari za Punde

Dk Shein Azungumza na Balozi Mpya wa Kuwait Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana  na Balozi Mpya wa Kuwait nchini Tanzania Jasem Ibrahim Al Najem  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na BaloziMpya wa Kuwait nchini Tanzania Jasem Ibrahim Al Najemalipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na  BaloziMpya wa Kuwait nchini Tanzania Jasem Ibrahim Al Najembaada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.