Habari za Punde

Mkutano wa Siku Mbili ya Kujenga Uwezo kwa wanasayansi na watafiti Namna ya Kuwasilisha Machapisho


Maprofesa kutoka Chuo Kikuu cha Ondokuz Mayis Madicine Department Turkey, wakitowa mada kwa Washiriki wa semina hiyo kuhusiana na kuwajenga katika Uwezo wa Wanasayansi na Watafiti wachanga kuweza kuandika na namna wa kuwasilisha Machapisho kwenye majarida ya Kimataifa.Akitowa Mada hiyo Profesa B. Sahin Samsun. semina hiyo imewashirikisha Wanafunzi wa Vyuo vya SUZA na SUA.

Profesa Bunyamin Sahin, akitowa mada katika semina hiyo ya siku mbili na kuwashirikisha wanafunzi wa Vyuo Vikuu Zanzibar, iliofanyika katika hoteli ya Zanzibar Grand Palace Malindi Zanzibar.   
                 Baadhi wa wasiriki wakifuatilia semina hiyo wakimsikiliza kwa makini.
                             Baadhi ya Wanavyuo wakifuatilia mada katika mkutano huo.




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.