Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana wafiwa waMarehemu Bi Benadeta Francis Chacha alipofika kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Kianga Wilaya ya Magharibi Unguja leo.[Picha na Ikulu.]
WATUMISHI WA UMMA KIBAHAWatumishi watakiwa kutunza heshima za taasisi zao.
-
Na.Mwashamba Haji Juma
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Eliakim Maswi, amewataka
watumishi wa umma kuhakikisha wanatunza, kulinda na kukuza...
1 hour ago
Alikuwa nani huyu bibi Benadeta Francis Chacha?
ReplyDeletehuyu bibi alikuwa ni mkiristo wa KIANGA unguja
ReplyDeleteHii kupeana mikono kiholela kama hivi haina athari yoyote ktk mizani ya amali za mja?
ReplyDelete