Habari za Punde

Dk.Shein atoa mkono wa pole

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimfaraji Mtoto wa mareheme Ray alipofika kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Marehemu  Bi Benadeta Francis Chacha Kianga Wilaya ya Magharibi Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana wafiwa waMarehemu  Bi Benadeta Francis Chacha alipofika kutoa mkono wa pole nyumbani kwa   Kianga Wilaya ya Magharibi Unguja leo.[Picha na Ikulu.]

3 comments:

  1. Alikuwa nani huyu bibi Benadeta Francis Chacha?

    ReplyDelete
  2. huyu bibi alikuwa ni mkiristo wa KIANGA unguja

    ReplyDelete
  3. Hii kupeana mikono kiholela kama hivi haina athari yoyote ktk mizani ya amali za mja?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.