Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana wafiwa waMarehemu Bi Benadeta Francis Chacha alipofika kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Kianga Wilaya ya Magharibi Unguja leo.[Picha na Ikulu.]
TBS Yatoa Mafunzo kwa Waokaji Kuhusu Ubora wa Bidhaa
-
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka waokaji wa mikate nchini
kuhakikisha wanazingatia viwango vya ubora na usalama wa chakula ili
kulinda afya za ...
1 hour ago
Alikuwa nani huyu bibi Benadeta Francis Chacha?
ReplyDeletehuyu bibi alikuwa ni mkiristo wa KIANGA unguja
ReplyDeleteHii kupeana mikono kiholela kama hivi haina athari yoyote ktk mizani ya amali za mja?
ReplyDelete