Habari za Punde

Katibu Mkuu wa CCM Kinana akutana Mhe Lowasa Monduli

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndg Abdrahaman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Munduli Waziri Mstaaf Mhe Edward Lowasa, wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Arusha kuimarisha Chama na kuangalia maendeleo ya kutimiza ahadi zao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.