Habari za Punde

ANATAFUTWA

ANATAFUTWA
AMANI GEORGE MANJIRA
Aliyetajwa hapo juu aliajiriwa na Zantel kupitia Infinity Communications kwenye kitengo cha huduma kwa wateja.

Zantel itatoa zawadi nono kwa yeyote yule atakayetoa taarifa
kuhusu upatikanaji wake.

Watakaotoa taarifa hizi wanatakiwa kufika kituo chochote cha polisi.

Kesi hii imefunguliwa faili katika Kituo Cha Polisi Cha
Oysterbay yenye nambari ya kumbukumbu (OB/RB/2015/491)

Nambari za simu za kuwasiliana nazo ni +255 778 10 11 77 na +255 778 337777
• Anatafutwa kwa tuhuma za ubadhilifu wa mali za kampuni.
• Umri wake ni miaka 29 na kabila lake ni Mchagga.
• Anapoishi ni Ubungo Kibangu ( Dar es salaam ); na maeneo anayopenda kutembelea ni Arusha,Kilimanjaro na Singida.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.