WASHIRIKI wa mafunzo ya program ya hifadhi ya
jamii, wakimsilikiza Msaidizi Katibu wa Jumuia ya wazee na wastafu Zanzibar JUWAZA,
Yussuf Nuh Pandu hayupo pichani, wakati akielezea mikakati ya jumuis, kwenye
mafunzo ya siku mbili yaliofanyika chuo cha amali Vitongoji Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
AFISA Mdhamini, wizara na nchi afisi ya
rais Ikulu na Utawala bora Pemba, Jokha Khamis Makame, akifungua mafunzo ya
siku mbili kwa maofisa wa wilaya za Pemba, juu ya program za uhifadhi wa jamii,
yaliodnaliwa na Jumuia na wazee na wastafu Zanzubar JUWAZA, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
Msaidizi Katibu wa Jumuia ya wazee na wastafu Zanzibar JUWAZA, Yussuf Nuh Pandu, akielezea mikakati ya jumuia, kwenye mafunzo ya siku mbili yaliofanyika chuo cha amali Vitongoji Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MSHIRIKI wa mafunzo ya program ya uhifadhi wa
jamii Bw: Mgeni Othman akichangia jambo juu ya dhana na kulipwa kwa wazee wote
Zanzibar wenye umri wa kuanzia miaka 70,
hapo baadae, mafunzo hayo yalitayarishwa na JUWAZA, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment