Habari za Punde

Michuano ya Afrika Mashariki Netiboli Wanaume kati ya KVZ na Polisi zote za Zanzibar Polisi imeshinda mchezo huo.

Mchezaji wa timu ya KVZ akiwa na mpira wakati wa mchezo wao wa ubingwa wa Afrika Mashariki uliofanyika katika uwanja wa gmykhana. 

Mchezaji wa timu ya KVZ akijiandaa kupokea pasi huku mlizi wa timu ya Polisi akiwa nyuma yake akijiandaa kumzuiya.
Mchezaji wa timu ya KVZ akitafuta njia ya kutowa pasi akiwa katika eneo la goli la timu ya Polisi.

Wachezaji wa timu ya Polisi na KVZ kuliwa wakiwania mpira wakati wa mchezo wao kutafuta Bingwa wa Netiboli Wanaume wa Kombe la Afrika Mashariki zinazoendelea katika uwanja wa gmykhana. 
Mchezaji wa timu ya Polisi akidaka mpira huku mchezaji wa timu ya KVZ akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo huo uliofanyika uwanja wa gmykhana, wakati wa michuano ya Kombe la Afrika Mashariki zinazofanyika Zanzibar,

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.