Moja ya Nyumba ilioathiriwa na upepo mkali ulioezua paa la nyumba hiyo katika Shehia ya Kilimahewa, maafa hayo yameleta maafa kwa nyumba kumi na moja katika shehia hiyo.
Kaimu Mkurugenzi Masoko wa PBZ Ndg. Seif Suleiman akimfaraji mmoja ya Wananchi wa Shehia ya Kilimahewa . Lailaty Mbarouk alipofika kutowa msaada kwa wananchi hao waliopata maafa ya kuezuliwa nyumba zao hivi karibu.
Kaimu Mkurugenzi Masoko wa Benki yaq Watu wa Zanzibar Ndg Seif Suleiman,(kushoto) akipata maelezo ya mwananchi aliyepata maafa ya kuezuliwa nyumba yake kwa upepo Bi. Lailaty Mabrouk wakati alipofanya ziara ya kuwafariji wananchi hao na kutowa misaada ya Vifaa vya ujenzi, kwa kutumia kujengea nyumba zao kuzirudisha hali ya mwazo.
No comments:
Post a Comment