Habari za Punde

Dk.Shein akabidhi Vihori kwa Vikundi vya Ushirika vya Mwani Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mwakilishi wa VSO Tanzania Jean Van Wetter wakati alipowasili katika viwanja  vya Ukimbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo katika hafla ya sherehe ya kukabidhi Vihori kwa wakulima wa Mwani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto Bi Zainab  Omar Mohamed  (wa pili kushoto) na Katibu wa Wizara hiyo Bi Asha Ali Abdalla (kulia)wakati alipowasili katika viwanja  vya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo katika hafla ya sherehe ya kukabidhi Vihori kwa wakulima wa Mwani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia bidhaa, kwa Mjasiriamali Ndg Khamis Yussuf Machano,zilizotengenezwa kwa kutumia zao la mwani nakikundi cha Ulezi ni Kazi cha shehia ya Fujoni Jimbo la Kitope) wakati wa sherehe za kukabidhi Vihori kwa wakulima wa mwani hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi wakati sherehe za kukabidhi Vihori kwa wakulima wa mwani katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi wakati sherehe za kukabidhi Vihori kwa wakulima wa mwani katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo
Akinamama wakulima wa mwani kutoka sehemu tofauti za Unguja na Pemba wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja katika  sherehe za kukabidhi vihori kwa wakulima wa mwani kwa Mikoa ya Unguja na Pemba leo

Baadhi ya Viongozi,Wananchi na wakulima wa mwani wakiwa katika sherehe za kukabidhi vihori kwa wakulima wa mwani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja ambapo mgeni rasmi akiwaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kihori Bi.Zainab Daudi Haji mkulima wa mwani wa Uroa Wilya ya Kati Mkoa wa Kusini  wakati wa sherehe za kukabidhi vihori kwa wakulima wa mwani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kihori Bw.Kombo Salim Hamadi mkulima wa mwani wa Tumbe Magharibi Kaskazini Pemba wakati wa sherehe za kukabidhi vihori kwa wakulima wa mwani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.