WASAMARIA wema wakiangalia gari ndogo iliyokuwa
ikitoka Mkoani kwenda Chake Chake, iliyogongana na gari aina ya Toyota yenye
namba za usajili Z 177 AN aina ya daladala yenye ruti kati ya Chake Mkoani,
katika eneo la Kigope Mkoani.(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.)
BAADHI ya wasamaria wema wakiikaguwa gari aina ya
Toyota daladala yenye namba za usajili Z 177 AN, iliyokuwa ikitoka Chake kwenda
Mkoani kugongana na gari ndogo katika eneo la Kigope Wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment