Habari za Punde

Ligi ya Mpira wa Kikapu Zanlink Kanda ya Unguja Kati ya Polisi na Nyuki. Polisi imeshinda Vikapu 83-56

Kikosi cha Timu ya Mpira wa Kikapu cha Nyuki kilichokubali kipigo cha Vikapu 84 -56 wakati wa mchezo wa kutafuta Bingwa wa Zanlink Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika uwanja wa maisara Zenj. 
Kikosi cha Timu ya Mpira wa Kikapu cha Polisi kilichotoa kipigo cha Vikapu 84 -56 wakati wa mchezo wa kutafuta Bingwa wa Zanlink Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika uwanja wa maisara Zenj. 
Wachezaji wa timu ya Polisi na Nyuki wakiwania mpira wakati wa kuaza kwa mchezo huo uliofanyika uwanja wa maisara.












No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.