Habari za Punde

Maafisa wa Upelelezi Kisiwani Pemba wakiwa katika mafunzo kuhusiana na Utakasishaji wa Fedha Haramu

 Baadhi ya Maafisa Upelelezi Kisiwani Pemba, wakisikiliza maelezo ya kina kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, Juma Yussuf Ali , katika Mafunzo ya Mapambano juu ya fedha Haramu huko katika Ukumbi  wa
Hifadhi Pemba ,


 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba,ambae pia ni Msaidizi  Kamishna wa Poliisi , Juma Yussuf Ali, akifunguwa mafunzo wa Maafisa wa Upelelezi wa Jeshi hilo Kisiwani Pemba , kuhusiana na Utakasishaji wa
Fedha Haramu , iliofanyika katika ukumbi wa Hifadhi Hotel Chake Chake Pemba.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba,ambae pia ni Msaidizi  Kamishna wa Poliisi , Juma Yussuf Ali, akifunguwa mafunzo wa Maafisa wa Upelelezi wa Jeshi hilo Kisiwani Pemba , kuhusiana na Utakasishaji wa Fedha Haramu , iliofanyika katika ukumbi wa Hifadhi Hotel Chake Chake Pemba.

Kaimu Kamishna wa Kitengo cha Udhibiti wa Fedha Haramu, Mr , Onesmo Hamis  Makombe, akitowa mada juu ya utakasishaji wa fedha haramu ,kwa Maafisa Upelelezi Pemba huko katika Ukumbi wa Hifadhi Hoteli ChakeChake -Pemba.



Picha na Bakar Mussa -Pemba


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.