Afisa Mdhamini Wizara na Nchi Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Pemba, bi.Jokha
Khamis Makame, akifungua mafunzo ya siku mbili kwa maofisa wa wilaya za Pemba,
juu ya program za uhifadhi wa jamii, yaliodnaliwa na Jumuia na wazee na wastafu
Zanzubar JUWAZA.
Mshiriki wa mafunzo ya program ya uhifadhi wa jamii Bw:
Mgeni Othman akichangia jambo juu ya dhana na kulipwa kwa wazee wote Zanzibar
wenye umri wa kuanzia miaka 70, hapo
baadae, mafunzo hayo yalitayarishwa na JUWAZA
Washiriki wa
mafunzo ya program ya hifadhi ya jamii, wakimsilikiza Msaidizi Katibu wa Jumuia
ya wazee na wastafu Zanzibar JUWAZA, Yussuf Nuh Pandu hayupo pichani, wakati
akielezea mikakati ya jumuis, kwenye mafunzo ya siku mbili yaliofanyika chuo
cha amali Vitongoji Chake chake Pemba
No comments:
Post a Comment