Habari za Punde

Mfumko wa Bei Wataifa Waongezeka.

 Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Ephraim Kwesigabo akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Machi 2015 ambao umefikia asilimia 4.3 leo jijini Dar es salaam. Kushoto niKaimu Meneja wa Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi hiyo Bi. Ruth Minja.
 Waandishi wa Habari wakiwa kazini, Ofisi ya Taifa ya Takwimu wakati Mkurugenzi  wa Sensa naTakwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Ephraim Kwesigabo akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Machi 2015.
Pichana Veronica Kazimoto – Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Ephraim Kwesigabo akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Machi 2015 ambao umefikia asilimia 4.3 leo jijini Dar es salaam. Kushoto niKaimu Meneja wa Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi hiyo Bi. Ruth Minja.(Picha na Veronica Kazimoto), Takwimu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.