Habari za Punde

Mkutano wa CUF Kiliombero

  Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CUF waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope.

 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wanachama na wapenzi wa chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope.
Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akiwahutubia wanachama na wapenzi wa chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope. (Picha na Salmin Said, OMKR)

1 comment:

  1. mimi nataka wapewe hawa ma cuf ili tuje kuuona huu uwongo wao, ni kutudanganya tu, wakisha kuongoza sijui watakuja na uongo gani?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.