Habari za Punde

Mkutano wa Takwimu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Wafanyika Jijini Dar.

Mkurugenzi MkuuwaOfisiyaTaifayaTakwimu (NBS),kutokaTanzania  Dkt. Albina Chuwa akifunguamkutanowaWakurugenzinaWatalaamwaTakwimukutokanchiWanachamawaJumuiyayaAfrikaMasharikikujadilimausualambalimbaliyaTakwimuleojijini Dar es salaam.
BaadhiyaWashirikiwaMkutanowaWataalamwaTakwimuwanchiWanachamawaJumuiyayaAfrikaMasharikiwakifuatiliamausualambalimbaliyawakatiwaMkutanohuoleojijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Takwimu Rwanda  Bw. Yusuf Murangwa akitoa mchango  wake kuhusu umuhimu wa ushirikiano wa matumizi ya Takwimu baina ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Takwimu Kenya Bw. Zachary  Mwangi akizungumza na washiriki wa mkutano wa Wakurugenzi wa Takwimu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu utayari wa nchi yake katika matumizi ya Takwimu mbalimbali.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Takwimu Uganda Bw. Ben 
Mungyereza akizungumza jambo wakati wa mkutano wa Wakurugenzi wa Takwimu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu utayari wa nchi yake katika matumizi ya Takwimu mbalimbali.
Mwakilishi  wa Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Takwimu ya Burundi Bi. Jeanine
Niyukuri akichangia wakati wa mkutano wa Wakurugenzi wa Takwimu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika uliofanyika jijini Dar es salaam
.(Pichana Veronica Kazimoto)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.