Mwanamitindo wa Zanzibar Bi Matilda Ishungisa mwenye gauni la njano akiwa na wanamitindo wake walioonesha mitindo ya Nguo alizobuni wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake yaliofanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani Zenj.
Mwanamitindo wa Zanzibar Bi Matilda Ishungusa akiwa na pozi akipita mbele ya Wanawake walioshiriki Siku ya Mwanamke yaliofanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar.
Maaskofu, Masheikh nyanda za juu wahimiza uchaguzi wa amani
-
Na Mwandishi Wetu, Mbeya
VIONGOZI wa dini kutoka mikoa ya Nyanda za Juu Kusini wamewataka Watanzania
kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi Mkuu utakaofan...
42 minutes ago
No comments:
Post a Comment