MKUU wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba Mhe:Omar Khamis Othman, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa
maonyesho ya wajasiriamali kisiwani Pemba yaliyofanyika huko Wesha hoteli

MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe:Omar Khamis Othman, akizungumza na wajasiriamali mbali mbali kisiwani Pemba, mara baada ya kuzindua tamasha hilo huko katika Wesha Hoteli
MKUU wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba Mhe:Omar Khamis Othman, akipata maelekezo ya utengenezaji wa
Unga wa Lishe ya Watoto, kutoka kwa wajasiria mali Kisiwani Pemba
MSHAURI wa Fedha
kutoka Kampuni ya Mafuta ya Shell, Felichismo Furia akimpatia maelezo Mkuu wa
Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe:Omar Khamis Othman, juu ya kampuni hiyo
inavyojishuhulisha na uchimbaji wa Mafuta katika nchi mbali mbali duniani
Mmoja wa wananchi walio hudhuria maonesho hayo akiwa katika banda la maonesho la Kampuni ya Shell akipata maelezo ya bidhaa zinazizalishwa na Shell.wakati wa tamasha la maonesho ya wajasiriamali kisiwani Pemba.yaliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Wesha Pemba.
Mfanyakazi wa Kampuni ya Ndege ya Zan Air tawi la Pemba akitowa elimu kwa Vijana kuhusiana na Utaliiwa ndani wakati wa Tamasha la Wajasiriamali lililofanyika kisiwani Pemba katika viwanja vya hoteli ya Wesha Chakechake
(.Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
(.Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment