Baba Paroko Cosmas Shayo wa Kanisa Katoliki Minara Miwili Zanzibar akiongoza Ibaada ya Ijumaa Kuu wakati wa kuteswa na Yesu, Ibadaa hiyo imefanyika katika kanisa la Minara Miwili Zanzibar na kuhudhuriwa na waumini wengi
Waumini wakishiriki katika Ibaada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa Katoliki Minara miwili ZanzibarWaumini wakishiriki katika Ibaada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa Katoliki Minara miwili Zanzibar
Waumini wakishiriki katika Ibaada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa Katoliki Minara miwili Zanzibar'
Muumini Kanisa Katoliki Zanzibar Tobias Mkunde akisoma historia inayoelezea mateso aliyopata Yesu, wakati wa Ibaada ya Ijumaa Kuu iliofanyika katika kanisa hilo na kuongozwa na Baba Paroko Cosmas Shayo.
Waumini wakifuatilia Ibaada ya Ijumaa Kuu katika kanisa la minara miwili Zanzibar
Waumini wa Kikristo wakijumuika katika Ibaada ya Ijumaa Kuu ilioongozwa na Paroko Cosmas Shayo iliohudhuriwa na wauumini wengi mjini Zanzibar wakiungani wa waumini wengini duniani katika Ibaada ya Ijumaa Kuu.
Wanakwaya wa Kanisa la Katoliki Minara miwili Zanzibar wakiimba kwaya wakati wa Ibaada ya Ijumaa Kuu iliofanyika katika Kanisa hilo
No comments:
Post a Comment