Habari za Punde

Ligi Kuu ya Basketi Kanda ya Unguja Zanlink Basketi Ball. Kati ya Mwembetanga na New West imeshinda kwa Vikapu 91-90 A

Mchezaji wa timu ya Muembetanga akiruka juu kufunga wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu Kanda ya Unguja uliofanyika katika viwanja vya maisara timu ya New West imeshinda kwa vikapu 91-90, 
Mchezaji wa timu ya Muembetanga akiwa na mpira akimpita mchezaji wa timu ya New West.
Mchezaji wa timu ya New West akiwa na mpira akijiandaa kumpita mchezaji wa timu ya Muembetanga katika mchezo wa Ligi Kuu Kanda ya Unguja.   
Mchezaji wa timu ya Muembetanga akikubali chenga baada ya kupitwa na mchezaji wa New West  mweye mpira.
Wapenzi wa Timu ya Muembetanga wakifuatilia mchezo wa timu yao ikiwa mbele kwa vikapu 
60- 50
           Mchezaji wa timu ya Muembetanga akimpita mchezaji wa timu ya New West.





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.