Habari za Punde

Maalim Seif Sharif Azungumza na Mwandishi wa Gazeti la Zanzibar leo.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa habari wa Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar, Gazeti la Zanzibar Leo Bi Hafsa Golo,nyumbani kwake Mbweni. nje kidogo ya mjini wa Zanzibar  
Maalim Seif Sharif akisisitiza jambo wakati wa mahojiano na Mwandishi wa Gazeti la Zanzibar Leo Hafsa Golo, alipofika nyumbani kwake Mbweni Zanzibar kwa mahojiano maalum.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi akiaganac na Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Zanzibar leo alipokuwa na mazungumzo ya mahojiano (Picha na Salmin Said OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.