Habari za Punde

Maziko ya WANA CCM Waliopata ajali jana.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akishiriki katika swala ya maiti kumswalia Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja katika msikiti wa  marehemu aliyefariki kwa ajali ya  gari iliyopinduka huko  Mtowapwani Kaskazini jana,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja aliyefariki kwa ajali ya  gari iliyopinduka huko  Mtowapwani Kaskazini jana na kuzikwa leo katika makaburi ya Mwanakwerekwe
 Baadhi ya wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu walioshiriki katika maziko ya Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja aliyefariki kwa ajali ya  gari iliyopinduka huko  Mtowapwani Kaskazini jana na kuzikwa leo katika makaburi ya Mwanakwerekwe
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na ndugu wa Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja  baada ya mazishi yaliyofanyika leo makaburi ya Mwanakwerekwe marehemualifariki kwa ajali ya  gari iliyopinduka jana huko  Mtowapwani Kaskazini A Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akimfariji Salhia Sheha Khamis mkaazi wa Kwamtipura aliyelazwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja jana baada ya kupata ajali ya kupinduka kwa gari iliyobeba wanaCCM wakitokea Nungwi katika shuhuli  za kichama katika ajali hiyo watatu wamefariki Dunia
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akimfariji Bi Mauwa Ali  Khamis mkaazi wa Kwamtipura aliyelazwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja jana baada ya kupata mshtuko wa ajali ya kupinduka kwa gari iliyobeba wanaCCM wakitokea Nungwi katika shuhuli  za kichama katika ajali hiyo watatu wamefariki Dunia 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipokuwa akitoa maelekezo kwa watendaji wa Chama katika Hospitali ya Mnazi Mmoja jana alipoungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kuwafariji Wanachama wa CCM   waliolazwa katika  baada ya kupata   ajali ya kupinduka kwa gari walilopanda wakitokea Nungwi katika shuhuli  za kichama katika ajali hiyo watatu wamefariki Dunia
 Baadhi ya Wananchi na wanaCCM wakibeba jeneza la Marehemu Bi Munira Abdalla Mkaazi wa Mkele Mjini Unguja aliyefariki kwa Ajali iliyotokea jana Mkokotoni Mtowapwani kwa kupinduka Waliokuwa wamepanda wanachama wa CCM wakitokea Nungwi Marehemu amezikwa leo makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri Kiongozi Mstaafu Shamsi vuai Nahodha waliongana na Wananchi na wanaCCM katika maziko ya Marehemu Bi Munira Abdalla Mkaazi wa Mkele aliyefariki kwa Ajali iliyotokea jana Mkokotoni Mtowapwani kwa kupinduka Waliokuwa wamepanda wanachama wa CCM wakitokea Nungwi Marehemu amezikwa leo makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri Kiongozi Mstaafu Shamsi vuai Nahodha waliongana na Wananchi na wanaCCM katika kumuombea Dua  Marehemu Bi Munira Abdalla Mkaazi wa Mkele aliyefariki kwa Ajali iliyotokea jana Mkokotoni Mtowapwani kwa kupinduka Waliokuwa wamepanda wanachama wa CCM wakitokea Nungwi, Marehemu amezikwa leo  katika makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.