Habari za Punde

Mkutano wa ufafanuzi wa katiba inayopendekezwa

  HAKIMU wa mahakama ya ardhi Mkoa wa kusini Pemba Salim Hassan Bakari, akitoa ufafanuzi wa katiba inayopendekezwa kwenye mkutano wa wilaya ya Chake Chake ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar, tawi la Pemba, mkutano huo ulifanyika Madungu, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 BAADHI ya wananchi wa wilaya ya Chake Chake wakifuatilia mkutano wa ufafanuzi wa katiba inayopendekezwa, waakati wawasilishaji wakielezea kwa kina juu ya katiba hiyo pendekezwa, mkutano huo umeandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
SHEHA wa shehia ya Madungu wilaya ya Chake chake Mafunda Hamad Rubea akifiungua mkutano wa ufafanuzi wa katiba ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba,  kushoto ni mwanasheria wa serikali Albaghiri Yakout Juma (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.