Mwanadishi wa Habari Muandamizi Zanzibar Ndg. Salim Said Salim, akitowa elimu ya kuripoti habari za Bunge na Baraza la Wawakilishi kwa Waandishi wa habari wa Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar Leo, mafunzo hayo yamefanyika katika Ofisi za Gazeti hilo zilizoko katika jengo la ZBC Redio Rahaleo Zanzibar,
Mwandishi Mwandamizi Zanzibar akisisitiza jambo wakati akitowa Elimu ya kuripoti habari za Vikao vya Baraza kwa waandishi wa Gazeti la Zanzibar Leo, ili kuweza kuripoti habari hizo kwa umakini zaidi wakati wa Kusoma kwa Bajeti wakati wa kikao hicho kinatarajiwa kufanyika kesho .
Mwandishi Muandamizi Ndg Salim Said Salim akiwa na Kitabu cha Kanuni za kuendesha Kikao cha Baraza la Wawakilishi, wakati akitowa mafunzo hayo yaliofanyika katika Ofisi za Gazeti hilo zilizomo katika Jengo la ZBC Redio Rahaleo.
Waandishi wakimsikiliza Mwandishi Mwandamizi Zanzibar Ndg Salim Said Salim akitowa mafunzo hayo kwa waandishi wa Gazeti la Zanzibar Leo.
Waandishi wakifuatilia Mafunzo hayo kwa makini.
Ndg Salim Said Salim akisisitiza jambo wakati wa mafunzo hayo ya siku moja kufahamu kuripoti habari za Baraza.
No comments:
Post a Comment