NDEGE ya Al salaam ilioingia majanini mita saba kwenye uwanja wa ndege wa Pemba kutokana na Rubani kutouona vyema uwanja kwa sababu ya mvua iliokuwa ikinyesha wakati huo na kisha ndege hiyo kusukumwa na kuendelea na safari yake baadae, (Picha na hisani ya mitandao)
DK.MWINYI:CCM ITAFANYA KAMPENI ZA KISTAARABU KWA SERA ZENYE TIJA KWA
WANANCHI
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein
Ali Mwinyi, ambaye pia ni Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama
Cha...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment